Harmonize Aachia Video Ya Wimbo Wake Mpya Wa ‘Atarudi’, Kichupa Kimefanyika Nchini Nigeria

Harmonize kutoka WCB ameachia video ya wimbo wake mpya wa Atarudi, kichupa cha vwimbo huu kimeongozwa na Zoom Production na asilimia 100 location yake imefanyika Nigeria.

https://youtu.be/FtgHIXHbqiA

Source: bongo5.com

Leave your comment