TANZANIA: VINKA Mkali Wa Hit Song Ya ‘Chips na Ketchup’ Kutoka Uganda Atua Tanzania, Amtaja Diamond Na Ben Pol Kwenye Mipango Yake

Msanii  wa muziki kutoka Uganda, Vinka ambaye anatamba na ngoma yake ya ‘Chips na Ketchup’ yupo nchini Tanzania kwa sasa na ameeleza sababu zilizomfanya kuja nchini. Pia amezungumzia wasanii anao wakubali na kuahidi kufanya kolabo na msanii mkubwa Tanzania:

https://www.youtube.com/watch?=121&v=-sAp7phgfZI

Source: bongo5.com

Leave your comment