My short Story

Kwa majina naitwa Isaya Ashery Sanga.Ni mtoto wa tano katika familia yenye watoto sita,na mtoto wa mwisho wa kiume katika familia yenye watoto wa nne wakiume.Natumia jina la BENIE JAH kwenye mziki ,asili ya hili jina nmelitoa kutoka kwenye jina la kaka yngu ambae mm ndio nmemfata ambae kwa sasa ni marehem alifariki mnamo tarhe 29/12/2015 R.I.P BROTHER.alikua anaitwa BENJAMIN .Kwahyo jina Benie Jah limetoka kwenye jina hilo,Ktk familia yetu tumeondokewa na kaka wawili ambae ni HENNRY NA BENJAMIN.Nakubaki watoto wanne katika familia hii.pia niliondokewa na baba yangu mzazi ASHERY MUSSA SANGA mwaka 2014.Nimelelewa na mzazi mmoja tu ambae ni ANITHA .K. MBILINYI.baba na mama walitengana kipindi mimi nikiwa mdogo nlikua na umri wa chini ya miaka miwili,ambayo ilichukulia mm kulelewa na mzazi mmoja ambae ni mama.Namshukuru Mungu licha yakulelewa na mzazi mmoja lakini cjaishimasha magumu sana na wala sijaishi maisha ya raha sana ila nmeishi maisha ya furaha cku zote.Mungu amenipa mama mpambanaji kipindi chote nikiwa na yy cjawahi kukosa ninachopaswa kutoka kwake na amenifanya nisilione pengo la baba,maana alinilisha ,alinisomesha,alinivisha na alisimama kama mama pia kama mama kwangu kuhakikisha sijutii kumkosa baba na kweli sikuliona pengo la baba.Najifunza kutoka kwa mama kuishi maisha yenye amani na furaha wakati wote hata ninapokua sina ,na nmejifunza kua mpambanaji katka maisha na sio kuishi kwa kumtegemea mtu.Sitajutia magumu ninayopitia ,sitakata tamaa kwakuogopa vikwazo ninavyokutanana navyo katika maisha.

NAWASIHI VIJANA WENZANGU WALIOPITIA MAISHA KAMA YANGU,NA WALE WALIOPITIA MAISHA MAGUMU ZAIDI KULIKO YANGU BILA KUSAHAU WALE AMBAO HAWAJAWAIKUTANANA NA SHIDA KABISA WASIWADHARAU WATU WENYE MATATIZO NA MASIKIN BADALA YAKE WAWE NI MSAADA KWA HAO WAO WATU.MAANA SADAKA YA KWELI NA DINI YA KWELI NA IBAADA YA KWELI ILE YA KUWASAIDIA WASIOJIWEZA ,MASKINI ,YATIMA NA WATOTO.NA KUA NA UPENDO NA WATU HAO

NB: HAKIKA UKIFANYA HIVYO MUNGU ATAKUBARIKII NA ATAKUONGEZA UPATE ZA ZAIDI NA UFALME WA
MBINGU UTAUONA

TUJITOE KWA MOYO WOTE MWENYEZI MUNGU ATATUPA ZAIDI

Leave your comment