wajasiri biographie

wajasiri
ni team ya muziki toka goma/drc iliyo anzishwa munamo mwaka wa 2016 na vijana wabunifu kama vile
one brother
na mwingine anaitwa kwa jina la
boris arihirum
walitoa nyimbo yao ya kwanza munamo mwaka wa 2016 naikaitwa kwa jina la
uvumilivu
waliyo mshirikisha 2bal
unajua kwanini uitwe uvumilivu wimbo wao wakwanza?
nisabu wao walijuwa kuwa hapo ndo wa meinza safari
na wakanya huo wimbo ili uwafariji kwenye changamoto siku zote
hata wewe unajua kwenye safari lazima ujikinge na matatizo
na njiya pekee ya kutufanya tushinde ni
ujasiri
pili
uvumilivu
video yao ya 1 iiitoka munamo mwezi wa kwanza mwaka wa 2018 ikaitwa kwa jina la
vurugu mtaani
waliyo mshirikisha tena 2bal
ila ngoma hizo hazikutamba hata kidogo sababu kifedha wanagonda ila zilipendwa na wachache walo bahatika kuzisikiya
wajasiri
kweli inaonekana hawakuja cheza ila ni wana ndoto
na muziki wao umekuwa tofauti na zingine
wajasiri ni wenye mishairi
ni wenye rymes
yani wao ni wazushi
kimuziki na ni wenye vipaji ila pesa tatizo

Leave your comment