rising star

amani vandeez by nickname amani kenya no msanii anaye kuja kwa kasi sana...... baada ya kutoa wimbo wake wa nitarejea na miziki zengine, amebibea katika muziki wa kenya flava inayo jitambulisha kama zuku Music mtindo wa rnb...... amani vandeez anaye tunga miziki na kuandikia wasanii miziki ....

Leave your comment