story ya maisha ya fubo classic tangia mwaka 2009 mpaka 2017

Fubo classic ni msanii aliye soma shule ya msingi kawe "A" na kuitimu darasa LA Saba mwaka 2011. Fubo classic alifanikiwa kujiunga na elimu ya secondary katika shule ya mwatisi mkoani mbeya. Fubo classic akaanza arakati za music na kurekodi katika studio mbali mbali mkoani mbeya alikutana na changamoto nyingi kama za kutukanwa na wasanii wakubwa aliokuwa akiwaomba ushauri mpaka Sasa alipoamua kufanya nyimbo inayokwenda kwa jina la walimwengu

Leave your comment