NINAKUSHUKURU MUNGU.

Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu wangu kwa jinsi nilivyo, na hapo nilipi leo. Ni mengi nimepitia labda leo nisingekuwa hai. Najawa kumshukuru Mungu sana ninapokutana wengine nikasema afadhari ya haya ninaypitia mm. Namshangaa Mungu kwakweli kwa maana sometimes naona kama sikustahili kwakweli, wengine hawana hiki mm umenipa , hawana kile Mimi ninacho. Wimbo wa NINAKUSHUKURU MUNGU umkumbushe na mwingine kwamba tuna mengi ya kushukuru kuliko tunayohitaji.

Leave your comment