BOKONYA MC KUJA NA MIXTAPE

Baada ya kuachia audios sasa nimeamua kuwapa mashabiki wangu mixtape itakayokuwa na ngoma zaidi ya kumi
ili kumaliza kiu ya mashabiki maana wameiomba kwa muda mrefu . na sasa ipo kwenye maandalizi kwa hiyo naomba mashabiki waisubiri

Leave your comment