BORN AGAIN

Once i was a terrible sinner.I remember even lacking respect to some of my family members without caring how they would feel,
Kuchapwa viboko kwangu ilikua kama hobby.My late Dad alihangaika na mimi for i was rude,impatient,lack of self control even having bad terms na my buddies,family members,at school yani i was selfish en disobedient.Hadi ikafika point kwa life yangu nikawa m sick design singeeza recover nliona nimefika mwisho wa life.Apo ndo nikaamua kuitisha usaidizi kutoka kwa Mungu aniokoe na aniponye na nitamtumikia kwa ujana na hata uzee wangu ikiwezekana.After that nikajihisi mwepesi alafu usingizi ukani take over kesho yake kuamka nikajihisi nafuu nikampa Mola shukrani.Aki homa ilinifunza kuwa mhumble na ku care ju wale wenye nlikua nkiwakosea ndo walikua na mimi nlipokua msick.Nilipiga magoti nikamwomba God anisamehe makosa yangu yote na anitoe kwa giza la dhambi.Indeed Jalali hua halali aliniskia akanipa salvation so upto date naeza sema nimeokoka en Both God and His beloved son Jesus are my personal saviours.as long as i live en breath,daima ntamsifu Muumba wangu.The main message is am BORN AGAIN

Leave your comment