Pake kwenye corner - ma new single coming out this weekend.

Pale kwenye corner ni track ambayo inaelezea
mrembo fulani ambae nimekutana nae,
na si pengine pale kwenye corner,
si hivyo tu sijawasahau na watu wa ku party
so nimemix flavour.
Keep on touch sòon nazi hewani.



- DTHEHUSTLER DEEJAY

Leave your comment