Amani ya Bwana

Sisi kama wakenya tunahitajika kuwa na Amani, kila mwanadamu ni sawa mbeleni mwa Mungu.
Hatufai tuchinjane kama kuku, tusimwage damu, sisi ni watoto wa baba mmoja na huyo ni Mungu.
Najua twajua sote ya kwamba panapo fahali wawili wakipigana nyasi huumia, nikiulizia wewe mpendwa, " Wewe ni nyasi kweli?"
Jiulize swali hilo, tupendane sote Wakenya, penda mimi ni pende wewe na tujenge Kenya yetu. Amen

Leave your comment