Bahati ni mchawi wa nyimbo

Bahati ni mchawi wa nyimbo.nyimbo zake uwa ni nyimbo za kupendeza sana kutokana na utuzi wa masahiri na sauti.nafikiri saisi msanii uyu ndiye bora zaidi kenya kwa wasanii wa nyimbo za injili.sanasana wimbo wake mpya unikumbushe ni ni zigo kumbwa sana .ikiwa atanipa nafsi tufanye kazi naye itakua furaha hisiyo na kifani .

Leave your comment