MWAKA MPYA

Ni mwaka mpya tumshangilieni tumshangilieiei mshangilieni baba*2
Tulimwomba Na ametuvukisha salama aaai.
Ni mwaka mpya aaaaahi ametujalia
Ni mwaka mpya aaaaahi tumshangilie

Mwaka Jana nilikuwa nimezama kwa shida Mimi
Nilipitia aibu nyingi Na madharau ya majirani
Nikadhani kwamba ulinisahau nikapoteza imani

Leave your comment