ngoma mpya kutoka kwa king sugu

King sugu ni msanii kutoka musoma Mara Tanzania, ni msanii Wa bongo flava, pia ni msanii mwenye kipaji cha Hall ya juu,wiki hii atatambulisha nyimbo yake mpya, kaeni tayari kwa kusikiliza muziki mzuri kutoka kwa king sugu

Leave your comment