UNAJUA NILIWAHI KUKIMBIA STUDIO....???

Hakuna mwanzo mwepesi,nimepitia mengi magumu kiasi cha kutaka kukata tamaa.Nilijaribu mara kadha kufanya muziki bila mafanikio,kuna mengi ya kusikitisha na yakusisimua toka nilipo ianza safari yangu ya muziki.Nakumbuka mara ya kwanza nakwenda studio nilikua mwanza,palikua na recoding studio maeneo ya makao makuu ya ccm mkoa.studio ilikua ikiitwa UJUMBE,Nilifanya bit chini ya producer MICHAEL akishirikiana na Mr KOYA.Nakumbuka ilikua poa sana,muda wote nafanya hayo hakuna yeyote katika familia aliye kua akifahamu kinacho endelea.Nilipewa bit studio nikaanza kuifanyia mazoe ni kiwa ghetto.NNakumbuka nilikua namiliki mziki mkubwa sana katika chumba changu,hiyo ilikua ni mwaka 2004 mpaka 2006 katikati.Baada ya wiki moja nitakiwa kwenda kuingiza vocal.Kwa mwanza kipindi kile UJUMBE RECORD ilikua ni studio baabu kubwaa...wengi walio kua wakirecord walikua ni waimbaji wa kwaya na walikua vizuri ajabu.Waimbaji wa kwaya wanavyoko za hatari...hapo ndipo nilipo anza kutambua muziki si kazi ya kitoto kitoto,sikujua KEY ni nini na inakuaje,tulikua tukiimba kitaani katika vikundi vikundi tunapeana mioyo kua tuko fiti ile balaa.Babaake,,,asikuambie mtu,muziki unafanywa studio na si mtaani,wanao ujua mziki ni maproducer wala sio mashabiki wanao kusikiliza.Siku hiyo walinizunguka watu watatu ndani ya studio,nikaingiwa na hofu,nilipo anza kuimba kila niliye mtazama usoni kanikunjia sura kama wanatafuna vipande vya ndimu.Nika msikiaMICHAEL akisema bona hapo unaama key...???imba...kama ulivy kua ukiimba mwanzo.Ikanibidi nianze take two,hazikupita dakika mbil KOYA nay akafoka kw sauti ya chini akisema,huwez kuimb ke mbil kwa wakat mmoja,inakupasa uimbe kw mtiririk una takiwa,we bad mchanga huwez kufany kam marliya kelly ama whitney huston,ha nd wana wez kuimb key mbili n zot zik eleweka.Nakumbuk siku n mood ya kuimb tena nikaomba kuondok il nikajipang tena.Wik moja baada nikarudi tena studio,awam hi nilijiamin makos yot nimerekebisha.Ulip fika muda wa kuingi vocal room mambo yak badilik kabisa,awamu,,,hii siku n was was kabisa,kituko kilich nipata niliikua nikiimba fla mpaya zaidi nikawa napotez mistari ambay huko nj niliitafun kam nimewekw kanda mdomoni.Producer akaw akifoka yey pamoj na wasaidizi wake.niliondok voca room kimy kimya siku muaga mtu,na sikwenda tena pale UJUMBE STUDIO mpak hiv leo.KILA JAMBO LINA WAKATI WAKE.KW SAS HAKUNA KINACH NISUMBUA JUU YA MUZIKI UPAND WA UTUNZI NA UIMBAJI.

Leave your comment