USAIDIZI WA MUZIKI WA INJILI

Naomba kusema na wewe mdau wa nyimbo za injili na mlezi wa wenye vipaji,
naomba sapoti yako maana muda mwingine nahisi kama kukata tamaa na muziki,
lakini kwasababu nimeokoka maandiko yananikumbusha kuwa
KUKATA TAMAA NI DHAMBI.Nanikweli basi nikuombe kwa hali na mali ni saidie kadri uwezavyo
pesa inakuwa sababu kubwa ya kushindwa kulifikia lengo ,haimaanishi MUNGU anisaidii.
Ananisaidia na ndio maana nimeweza kupata wazo la kukushirikisha hitaji langu
uhenda MUNGUanamakusudi yake na ndio maana nikaomba leo na sio jana.
Ingia YOUTUBE OR MDUNDO.COM andika Gerazson Geofrey utapata nyimbo zangu.
kuomba utaonekana mjinga na mshamba lakini Mungu anasema ombeni nanyi mtapewa,
bisheni nanyi mtapewa tafadhali saidia

Leave your comment