TANZANIA: Vanessa kutokushiriki tamasha Mombasa Rocks Music

 

 

Hitmaker wa nyimbo ya ‘Niroge’ Vanessa Mdee amesema hatoshiriki katika tamaha hilo linalotarajiwa kufanyika jumamosi hii tarehe 8 Mombasa nchini Kenya, ambalo linajumuisha msanii kali kutoka Marekani Chris Brown, Wizkid pamoja Alikiba.

Kupitia mtandao wa Instagram, Vanessa aliandika maneno haya:

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment