TANZANIA: Baraka Da Prince aeleza kilichosababisha kutofanyika kwa collabo yake na Sauti Sol

 

Miezi kadhaa iliyopita msanii wa Bongofleva, Baraka Da Prince aliwahi kuzungumza mipango ya kwenda Nairobi kuandaa collabo yake na Sauti Sol, kupitia Ayo TV amezungumza ukweli wote wa kile kilichosababisha kutofanyika kwa collabo hiyo.

 

Sauti Sol

 

 

“Kutokana na kupata uongozi mpya ndio sababu ya kutofanyika kwa ile collabo ya Sauti Sol lakini japokuwa na wao wanafahamu kuwa nimepata uongozi mpya kwahiyo nikihitaji kufanya nao naweza hata kesho nikaenda Kenya, yaani nilikuwa nimeenda hadi Kenya kwaajili ya hiyo collabo ambapo uongozi wangu wa Zamani ndio ulikuwa unahusika na hiyo maandalizi ya hiyo collabo” alisema Baraka Da Prince

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

Leave your comment