TANZANIA: (Picha) Vanessa afanya shoo ya hatari Kenya akiwa na 2 Face, Sauti Sol na wengine wengi

Usiku wa tarehe 11 mwezi wa 6 katika viwanja vya Carnivore nchini Kenya, Vanessa pamoja na wasanii wengine wa Afrika akiwemo 2Face baba, Sauti Sol pamoja na wengineo walishambulia jukwaa katika tamasha la BUCKWILD n BREATHLESS lililofanyika nchini Nairobi, Kenya.

Unaweza kutazama picha za tamasha hilo hapa:

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment