TANZANIA: Vanessa, Sauti Sol, 2baba (2 Face Idibia) ndani ya jukwaa moja

 

Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Tanzania, Vanessa Mdee au kwa jina lingine anajulikana kama Vee Money, ni moja kati ya wasanii watakaoperform nchini Kenya katika tamasha la Buckwyld  n’ Breathless litakalofanyika siku ya terehe 11 June 2016 Simba Saloon, Carnivore kuanzia saa 6 usiku hadi majogoo.

 

 

Wasanii watakaoperform siku hiyo ni Vanessa Mdee, Sauti Sol kutoka Kenya, pamoja na 2baba (2 Face Idibia). Pia kutakuwemo na wachekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya, Mchekeshaji maarufu nchini humo Churchill,  Mc Jessy pamoja na mchekeshaji kutoka Nigeria Alibaba.

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

Leave your comment