EXCLUSIVE (TANZANIA): Diamond Kushindanishwa Na Priyanka Chopra Katika Tuzo Za MTV EMA

Msanii Diamond kuchuana na mwanadada Priyanka Chopra kutoka India katika kipengele cha Best Worldwide Act (Africa/India) katika tuzo za MTVEMA. Baada ya kushinda Best Indian Act mwaka huu, Priyanka aliyewahi kuwa Miss World 2000, mwigizaji maarufu nchini India na mwanamuziki. ambaye kwa sasa ni mwigizaji wa tamthiliya mpya ya Marekani inayorushwa na televisheni ya ABC.

Priyanka Chopra


Diamond ambaye alishinda kipengele cha Best African Act atahitaji kura nyingi kutoka Afrika ili kuweza kushinda mchuano huo.

RELATED 

 EXCLUSIVE(TZ): ''Sio picha nzuri mwanangu apatane na picha ya babake anamtia denda demu... '' Diamond Shares How Tiffa Has Changed His Life

Leave your comment

Other news