KENYA: Baada Ya Kupatana, Tazama Video Ya Ngoma Mpya ya Jaguar Na Prezzo Hapa

Baada ya kupatana kwa wasanii heavyweights wawili Kenya, Jaguar na Prezzo wameachia video ya ngoma yao mpya inayoitwa ‘Timika’. Video imeongozwa na Enos Olik.

Itazame hapa:

https://www.youtube.com/watch?v=rRHSnM76nPE

Courtesy: bongo5.com

Leave your comment

Other news