NEW MUSIC (TANZANIA): Rama Dee – Protocal

Mkali wa muziki wa RnB Bongo, Rama Dee ameachia ngoma mpya ‘Protocol’, ikiwa imechukua baadhi ya mistari kutoka kwenye ngoma ya G Nako ‘Nuru’, producer wa wimbo huu ni Elly da Bway.

https://www.youtube.com/watch?time_continue=134&v=E62IRD3CpSg

Source: bongo5.com

Leave your comment

Other news