Diamond Atoa Shukrani Baada ya ‘Zilipendwa’ Kutawala Kenya, Uganda, Tanzania na Oman

Diamond amependezwa na jinsi ambayo wimbo huo unatrend hata kama wimbo pinzani ya Alikiba ‘Seduce Me’ bado iko na views mingi kwa YouTube.

Staa huyo wa Wasafi aliwashukuru mashabiki wake kwa kufanya ‘Zilipendwa’ kutrend na akawaomba kushare zaidi nchini mwao ili ipate views zaidi.

“Thank you Oman, Uganda, Kenya, and my Beloved Country Tanzania… #Zilipendwa (They Used to like) it’s a song which talks about all the Old Suff that people used to do, to eat, to like and used to Trend….. i know every country got it’s own #ZILIPENDWA… Can you please share with us, one from your Country…. full Video link in my BIO” Diamond aliandika kwa ukurasa wake wa Instagram.

 
Source: ghafla.com

 

Leave your comment

Other news