Lyrics
Hook
Nime struggle, nime survive nina conquer when I come through na na na na (na na na na)
Nilishika mic, nika rhyme, hook ikakam through na na na na (na na na na)
Ju wanatry kunieka down all of them trying to press my life bladder (my life bladder)
But hio ni lift escapade escalator sentiments zao kwangu ni ladder(kwangu ni ladder)
View more
Bridge
Ju ka jacoozi rhymes hotter
Mkiwa drunk niki drop bars mnakua sobber
Hamnijui but my flow venerial ka Ebola
So sistop mpaka niskie Omulabae kila kona

Verse 1
Nime struggle niki pray
That nikiamka kesho one better than today
It's all about placing food on my family's table
And when they push you down bado unajua stable
As long as niko alive najua mi niko able
Kuficha my true colours universal tu ka rainbow
Critics wanadai ,"Leigh style yako imbo."
Hamuezi nidanganya, nyi si Eve mi si Adam
Bridge
Ju ka jacoozi rhymes hotter
Mkiwa drunk niki drop bars mnakua sobber
Hamnijui but my flow venerial ka Ebola
So sistop mpaka niskie Omulabae kila kona
Ju ka jacoozi rhymes hotter
Mkiwa drunk niki drop bars mnakua sobber
Hamnijui but my flow venerial ka Ebola
So sistop mpaka niskie Omulabae kila kona
Hook
Nime struggle, nime survive nina conquer when I come through na na na na (na na na na)
Nilishika mic, nika rhyme, hook ikakam through na na na na (na na na na)
Ju wanatry kunieka down all of them trying to press my life bladder (my life bladder)
But hio ni lift escapade escalator sentiments zao kwangu ni ladder(kwangu ni ladder)
Nime struggle, nime survive nina conquer when I come through na na na na (na na na na)
Nilishika mic, nika rhyme, hook ikakam through na na na na (na na na na)
Ju wanatry kunieka down all of them trying to press my life bladder (my life bladder)
But hio ni lift escapade escalator sentiments zao kwangu ni ladder(kwangu ni ladder)
Verse 2
I put my faith in this words, ju binadamu atakucheza poker kama cards
In my dreams mi hurely, na lyrics uta relate to ndio buy
Watu wengi hubonga crap, wakiona unakam juu inawauma sana
But life ni test earth ni lab, na experiments zenu zimefail sana
Yeah! I take time before I judge you
But ukifika koo it takes a second just to drop you
Wengi watakuchocha how they love you when they with you
But uki turn your back that's exactly where they stab you
Nimechoka na fake phrases like, "I know what you going through."
Kati umefrahi na iyo misery nago through
But among bad people kuna wale real wenye wata mean it wakisema hii track wanaifeel