Lyrics

Niwe nawe,mi nataka kuwa nawe,oh my yole niseme nawe,kidogo nitembee nawe,nataka niseme nawe,kidogo niseme nawe.kwenye mapenzi,yetu wapenzi,tuwe wa heri,tulinde penzi,niwe ashiki,uwe asili,mimi nasihi,kwako mpenzi,uje anisi,mimi asadi,sisi azizi,tunayo sudi,tupande bogi,tuinywe boji,tuishi hari,tubunge hori.i love you,uwe gal i need you,mmh niwe nawe,kidogo nitembee nawe,nataka niseme nawe,maishani niwe nawe. Beib nakutaka,ukweli nakupenda,sio kama eti,mpenzi nakuhitaji.penzi lako zito, wengine ni vijeje,kwako sita hate,niko nawe kamwe.mwana mwenye staha,kutoka kule mara,kwangu we ni dawa,kwako sina utata,japo wayasema,wasema yasiosemwa,fwata nayo sema,achana yalosemwa.napenda unavyo walk,napenda unavyo talk,ai,yako sweet voice kama cinderella.napenda unavyo shake,your bam,kiuno ka yondo sister.achana ya washushi,mchana watasema na usiku watalala,watalala.twende para kwetu wavyele wakuone mpenzi wangu mimi,mpenzi mimi...
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up