Quanpizza! Azungumzia safari yake ya mziki kupitia online interview
3 July 2022
J-Vipi kuhusu mziki wako bro?
Q-bado nabisha tu ikisha funguka ni ivo.
J-swala la familia vipi?naskia tetesi kuwa bado upo kwenye michongo sana hadi akina dada unawapotezea?
Q-Hahaha...hayo niyakusikia tu
J-alburm yako ina ngoma ngapi?
Q-kumi na mbili
....

Leave your comment