Harmonize Jeshi lyrics [Download MP3]

[Image Source: Harmonize Instagram]

Sometimes what you dream can be receiving
Na huwezi kuvuna usichokipanda, thanks God for giving
Ghetto sikuwa na umeme wala cable
Hizi moja T-Shirt na yebo
Ati leo namiliki lebo
Lebo, Konde Gang lebo
Siku zote kisicho kuua kitakufanya uwe ngangari
Ata mwanga huwezi kumjua
So ishi nao kwa tahadhari
My sister, siku hizi shape wananunua
We pambana upate salary
Ila usisahau pesa maua
So ukikosa hata usijali

One love kwa wanangu wa kitaa nyie ndo mnanunua cd
Two love kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
Three love kwa master na rita mlinifanya hasira zizidii
Four love njia ngumu nilizopita mkanipa na jina mkasema niitwe

Jeshi, konde boy Jeshi
Tena siku hizi wananiita tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama una pigo za kirembo
Jeshi, konde boy Jeshi
Yaani wanangu wananiita tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama una pigo za kirembo

One love kwa wanangu wa kitaa nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
Mi naamini Mungu yupo tena
Naongea nae japo sisikii sauti yake
Nikianguka ntainuka tena
So usishangae why tembo anahustle peke yake
Coz I know,
Unapokiokota ndo wakati wakukitunza ili kesho kisije potea
Na unaposota ndo wakati wa kujifunza ni wapi ulipokosea
Sio kama siwezi kujibizana Ila mwenzenu nimeumbwa na subira
Cheki madili yanavyogogana
Coz nyota yangu ni Libra
Mbona siwaoni walotumwa kunitukana
Vichwa vyao kimya
Tena siku hizi hata siimbi sana
Wacha washindane na Ibrah
I say one love kwa wanangu wa kitaa nyie ndo mnanunua CD
Two love kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
Three love kwa master na rita mlinifanya hasira zizidii
Four loνe njia ngumu nilizopita mkanipa na jina mkasema niitwe

Jeshi, konde boy Jeshi
Tena siku hizi wananiita tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama una pigo za kirembo
Jeshi, konde boy Jeshi
Yaani wanangu wananiita tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama una pigo za kirembo

One love kwa wanangu wa kitaa nyie ndo mnanunua cd
Two love kwa wanafiki wa Insta mnafanya niongeze bidii
Konde boy…

https://www.youtube.com/watch?v=DY94qi5rJRc&list=PLnUFZ4sXj07gFmPL6C5UH5AxUAwJuwU7Q&index=30

Leave your comment