Harmonize ,Ushamba lyrics[Free Download]

[Image Source: Harmonize Instagram]

Kondeboy
Weeeeeeeee

Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh huo ni ushambaa

Pesa ya kulipa gesti unayo eeeh
Nyumbani familia inapiga miyayo eeeh
Mmh yanafurahisha ufanyayo
Eeeh huo ni ushamba
inaboa kudadadeki
dereva wa uber hataki kuova teki
eti kisa pesa haiongezeki
eeeh huo ni ushamba
Yupo kitandani kajilegeza eeh
Mi nimeshapaka vya kuteleza
Eeh eti bebi leo simba wanacheza
Eeeh huo ni ushamba
Husband material
Kutwa unalike picha za makalio
Vya wenzako usijipe matamanio
Eeh huo ni ushamba
Ashura wa mbagala
Huna pakula pakulala
Komenti ndefu picha za kajala
Huo tunaita eeeh huo ni ushamba

Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Eeeeh huo ni ushambaa

Mmmh malejendi si wamerudisha vita
Wanahofia eti jeshi anawapita
Bila sababu wananikunjia ndita
eeh huo ni ushamba
limechoka acha nilikalagaze halina meno ilo simba zeee
Likila demu lazima litangaze
Huo tunaita eeeh huo ni ushamba
Hivi dunia ndo ipo kikomo eeh
Maana hadi waganga wanapiga promo
Hadi insta eeh wana page za kujipigia domo
Eeeh huo ni ushamba
Amepanga chumba huko vingunguti
Yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti mmh
Vipi akikupiga kibuti
Eeeh huo ni ushamba
Aaah konda wa daladala umenipitisha bahati mbaya nililala unataka nilipe tena ni busara
Eeeh huo ni ushamba

Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Eeeeh huo ni ushambaa

Kaja na vumbi uso umefubaa
Anadai kapaka poda eeh
Kaniomba nauli ya uber
eeeh huo ni ushamba yule namuona kapanda boda
Vitu vingine haviji na ubongo eeh
Punguzeni sifa wana sio mchongo eeh demu humjui unampakia mkongoo
Eeeh huoni ushambaa
Yeye ndo kalewa kuliko wote
Anaimba nakucheza ngoma zote
Wakati wakulipa bili sina chochote
Eeh huo ni ushambaa
Meno yote nje anachekelea
Ahsante bebi nimepokea
Hasa mbona haujatuma na yakutoleaa
Eeeh huo ni ushambaa
Kumepambazuka alfajiri tupo club wana anasema subiri
Yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah
Eeeh huoni ushambaa
Tunaishi kwa nyumba ya kupanga
Mwenzetu unatuletea muganga
Unataka wote tuonekane wangaa huo tunaita
Eeeh huo ni ushambaa

Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Eeeeh huo ni ushambaa.

https://www.youtube.com/watch?v=GPRPlGvp3Yg&list=PLnUFZ4sXj07gFmPL6C5UH5AxUAwJuwU7Q&index=27

Leave your comment