MAPOKEZI YA WIMBO MPYA WA Master Key Chelechele uitwao *HARUSI*

Msanii wa muda mrefu wa muziki wa Bongo Fleva kutokea mkoa wa Rukwa ajulikanaye kama Master Key Chelechele, amefurahishwa sana na mapokezi ya ujio wa wimbo wake mpya uitwao HARUSI.
ameeleza kuwa anatarajia kufanya Media Tour kwa Mikoa ya Rukwa, Katavi na Mbeya ili kuutangaza wimbo huo lakini pia huku akiendelea na maandalizi ya video

Leave your comment