Nimeamua kufanya muziki

Baada ya kuwa kimya yan underground kwa muda sasa ,nimeamua kuufanya muziki sasa,najua wapo mashabiki wangu sehemu wakinisubiria nijitokeze ,mwaka huu 2017 ntatoa hit song yangu ya kwanza ,naomba mashabiki na watanzania kwa ujumla wakae mkao wa kula ,good muziki from Gesicom

Leave your comment