Lyrics
A.K.A Burundi,
Rymes nono ka strungi,
Zao ni matusi naleta Rwanda,
Makonde, kumadwa kabla siku saba, sita saba sir simon, cybernetic cyborg, hizo mistari mbili wangepelekea shylock , padlock nimefunga biz new news toka hapa hadi berlin, highly flamable niite benzin mad scientist wkazidi nita release clone ina DNA ya Hitler spider na E-sir, wataogopa wa contemplate kuokoka kufunga vilemba ka Wilbroda, Holy Moses, meet the real itchy fingers, calculation ya infinite figures, hii ni imla si insha kukula pizza na gizzard yani East meets West, Blizzard nawageuza lizzards juu wana mbio ya snail reason train ili derail
View moreKazi Kazi (tuna hustle hard)
Kazi Kazi (tunahustle hard)
Kazi Kazi (tunahustle hard)
And I'm going back to school maybe for a click or two
Kazi Kazi (tunahustle hard)
Kazi Kazi (tunahustle hard)
Kazi kazi (tunahustle hard)
Tujenge taifa letu
Ak-47 bunduki crimes tano ka sishtuki, wao ni chuki mi, Mamluki, Kibonge kumanga ka ni last super, thirty pieces of silver, hybernating python, Iscariot nimefunga biz na predict Mcee atajinyonga hii ni Easter si Christmas, inadunda ju ni lazima blaxmyth aliunda number zenyu ali black list, Farm illy mann, psychic serial killer, times six ya david onyancha(ha ha haa) Rapture, ningetaja but haina haja, a Farmer not a rapper nakaa nangonja, Acre moja, Marijuana millioni saba, Simple algebra, drop out, hahaa we una laminate degrees, try test me equals Tr rtttttttttt GPMG's
Kazi Kazi(tunahustle hard)
Kazi kazi (tunahustle hard)
Kazi kazi (tunahustle hard)
and am going back to school maybe for a chick or two
Kazi kazi(tunahustle hard)
Kazi kazi (tunahustle hard)
Kazi kazi (tunahustle hard)
Tujenge taifa letu
Mi ni parents nilifunga hip hop mimba ruka ruka ka mzuka, tulishafunga duka
, pole ka maji inazidi unga piga mbinja ka pressure cooker washoo tulishavuka rika, hii style inaitwa gukaa kwa dance floor buruka ka wee ni mkulima ongeza kilimo, wewe ni mchuuzi? Punguza kipimo ukiona Farm illy mann most likely tutakuwa ndani ya limo na kama niko single kwa hood pisha njia most likely niko na family, robin hood ustake tu make merry wabaki wakilia na kama we ni warrior angalia time, half past mbili mikuki kwa shadow, we ndio Rwanda Materials, ka we ni deree angalia mbele songa songa hio ni order hakuna time ya kungonja kubonga kuhonga niko Campo na si receive orders na study law so waki try ku prosecute mi ndio Ocampo ha hahaa ha hahaa
Kazi Kazi(tunahustle hard)
Kazi kazi (tunahustle hard)
Kazi kazi (tunahustle hard)
and am going back to school maybe for a chick or two
Kazi kazi(tunahustle hard)
Kazi kazi (tunahustle hard)
Kazi kazi (tunahustle hard)
Tujenge taifa letu