• Stream Bien - Bien Inauma Uchambuzi

    Bien Inauma Uchambuzi

    Bien

    1:12

Lyrics

Kama kuna wimbo wa mapenzi ambao umeteka Afrika Mashariki kwa mwaka 2022 basi ni Inauma wa kwake Bien, mwanamuziki ambaye pia anaunda kundi la muziki kutokea nchini Kenya, Sauti Sol.

Kwa muda mrefu sasa wengi walizoea kusikia sauti ya Bien ikiwa sambamba na sauti ya Savara pamoja na Chimano lakini kupitia ngoma ya Inauma, Bien ameweza kuonesha kuwa anaweza, kuimba peke yake na bado Afrika Mashariki ikaburudika na sauti yake.

Kwenye Inauma Bien ametumia vionjo vya rhumba, kama ambavyo Sauti Sol walifanya kwenye ngoma ya Extra Vaganza ambayo walishirikiana na Sol Generation. Sauti yake iliyojaa utulivu na umakini mkubwa inasikikika kwenye ngoma ikiwa imejaa maumivu na majeraha makubwa kama ambavyo mashahiri ya wimbo huu yanaeleza.
View more

More songs by Bien

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up