Lyrics

Usiku wa Jumatatu ya tarehe 17 tuzo pendwa kabisa duniani za soka za Ballon D’or ulikamilika kwa shangwa baada ya mashabiki mbalimbali duniani waliposhuhudia wanasoka wao mashuhuri wakiondoka na tuzo hizo katika vipengele mbalimballi. Katika kipengele kilichoozua hisia ni baada ya Karim Benzema kuondoka na tuzo ya mwanasoka bora kwa msimu wa mwaka 2021-2022 kwa upande wa wanaume.

MWANASOKA BORA WA KIUME
Hatimaye kwa mara ya kumi na moja baada ya kushiriki tuzo za Ballon D’or mshambuliaji wa timu ta Taifa ya Ufaransa na Real Madrid ya Hispania Karim Mostapha Benzema ameibuka mwanasoka bora wa msimu kwa upande wa wanaume. Katika kipengele hicho Benzema alikuwa akishindanishwa Sadio Mane kutokea Bayern Munich, Kelvin De Bruyne wa Manchester City pamoja na Robert Lewandowski akikipiga huko Barcelona kwa sasa. Hii ni mara ya tano kwa mchezaji kutokea Ufaransa kuchukua tuzo hizo za Ballon D’or tangu kuanzishwa kwake.

View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up