- 2:00
Manchester United Vs Norwich City Jumamosi hii
Football Predictions-Mdundo Podcast
Lyrics
"Katika kuelekea mzunguko wa 32 Kati ya 38, Sasa mashetani wekundu Manchester United wanaenda kuvaana na Norwich City Jumamosi hii kwenye hatua za mwisho mwisho za msimu wa Ligi kuu ya EPL.Norwich ambao kwa Sasa ndio wanaoshika mkia huko EPL wanakaribishwa na United katika uwanja wa Old traford huko jijini Manchester ikiwa ni katika hatua za kupata alama tatu muhimu ili waweze kubaki katika kuu ligi hiyo.
Baada ya mizunguko 31 kupita kwa timu zote mbili, Sasa United tayari Wana alama 51 wakiwa Nafasi ya 7, huku wao Norwich wakishika mkiwa katika nafasi ya 20 wakiwa na alama 21 tu.
View more
More songs by Football Predictions-Mdundo Podcast
Yanga Vs Simba Sc Jumamosi hii1:33
Football Analysis2:46
Man City vs Liverpool1:11
Manchester United Bio2:09
Real Madrid vs Man City0:54
Real Madrid vs Real Sociedad1:00
Real Madrid vs Barcelona1:28
Real Madrid vs Atletico Madrid0:53
Real Madrid vs Real Sociedad Predictions4:11
UEFA Nations Leauge Preictions 0906221:39
Barcelona, Messi Vs Sevilla Match predictions 2021 : manchester united, Crystal palace6:51
Chelsea vs Man United PL 2811211:10
Real Madrid Updates1:54
Everton Football Club Bio1:58
Lionel Messi's new club 20231:25
Real Madrid vs Liverpool - UCL #Tue_Predictions1:46
Real Madrid Vs Chelsea1:27
Cristiano Ronaldo, Lionel Messi1:07
Yanga vs Coastal Union Uchambuzi1:27
Real Madrid vs Barcelona - LL 2003221:12
News
Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.
Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.