Lyrics

Najiuliza peke yangu niwapi nilikosea machozi yangu peke yangu chumbani najililia mbona kama huu mwaka wangu yanielemea dunia yaani kisa kupenda nakupenda ndo maana wanionea nifanye nini ili unionee huruma mwana wa mwenzio huambiliki yaani fagio la chuma moyo mbio mbio nanikupe kipi labda utarudi nyuma la mfu sikio penzi lako waninyima nahisi sina thamani kwenye moyo wako.. sina hamu yako tena nilifumbia macho ukanifanya mi fahari ya macho tena sipaswi ya mwili wako walahi kamwe hukunifanya vyema ukaniona mtoto ukanifanya mi fahari ya macho we mama sipaswi ya mwili wako.. Najichekea zangu tu nikikumbuka ulivosema ulinimis wakati penzi lako uliapa utanipa 2030 mimi najiuliza nahisia we nishetani au ni jini mbona majini wana mibuyu Yao.ooo.. nambie unanipa lini mi napiga miayo.oo..mbona majini wana mibuyu yao..oo.. nambie unanipa lini mi napiga miayo..oo.. nifanye nini ili unionee huruma mwana wa mwenzio huambiliki yaani fagio la chuma moyo mbio mbio nanikupe kipi labda utarudi nyuma la mfu sikio penzi lako waninyima nahisi sina thamani kwenye moyo wako.. sina hamu yako tena nilifumbia macho ukanifanya mi fahari ya macho tena sipaswi ya mwili wako walahi kamwe hukunifanya vyema ukaniona mtoto ukanifanya mi fahari ya macho we mama sipaswi ya mwili wako..ooo .............................
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up