EXCLUSIVE (TANZANIA) – Album mpya toka kwa Stamina 'Mt Uluguru' kitaani ijumaa hii

Msanii wa muziki nchini Stamina hatimaye ameachia album yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ‘Mt Uluguru’.

Album hiyo yenye jumla ya nyimbo 20 inauzwa kwa gharama ya shilingi 5000 tu.

Stamina amesema album hiyo ipo kwenye mfumo wa CD na itakuw na nyimbo 20, lakini kwa ile ya mtandaoni itakuwa na nyimbo za ziada 6.

Wasanii walioshirikishwa katika album hiyo ni pamoja na Fid Q, Chid Benz, Stara Thomas, Linah, Rich Mavoko, Jux, Peter Msechu na wengine.

Source: Bongo 5

Leave your comment