"Shida nikutaka niwaoe" siandaboy asema????

Mwaniziki maarufu siandaboy asema amekosana na wasichana wengi juu ya wao kutaka awaoe na hayuko tayari ..anasema kua sio eti hua hapendi lakini amapomweleza msichana avumilie hua wanakosa subira hivyo kuishia kukatiana mawasiliano na kunyamaziana..je wewe ushawai kupitia shida kama hizi zake siandaboy ..na ulifanyaje kiwewe?? Like ukipata mda na sikiliza wake siandaboy mpya in love with your body..

Leave your comment