Natamani nisiwe player ..siandaboy atamka haya

Mwanamziki siandaboy atamka hata nakutoa wimbo wake mpya forever yours .hatujui ni wapi alipitia ila anasema ashapitia wakati mgumu kwa kuwafeli wanadada wengi kwenye ahadi..ila amesema kwa Mara hii atajaribu kumpenda mwanadada mmmoja na kutimiliza ahadi za ndoa.je wataka kujua ni nani anapendwa na siandaboy? Baki nasi tukujuze mengi..

Leave your comment