One day

Yahusu wimbo mpya unaoitwa One day, kuwa tupo katika mikakati na mashauliano kwaajili ya maandalizi ya video yake.Kubwa kuliko tunaendelea kupokea maoni kutoka kwa mashabiki wa Muziki ili kuendelea kupata mawazo ya kutuongoza namna video iwe na project zijazo. Ahsante

Leave your comment