Corona Hit song

Ijumaa ya Leo tarehe 26 March 2020, Ricky Melodies kwa Kushirikiana na msanii Fadhili Bavyombo na Kaka Brayoo wameachilia hit mpya inayohamasisha watu kuhusu Maradhi na maambukizi ya Corona na Jinsi mtu anavyoweza kujiepusha na maambukizi hayo.

Leave your comment