Mkongwe Elton John ashindwa kuendelea na Show baada ya kupoteza sauti

Source: Milard Ayo

Weekend hii haijaisha vizuri kwa Mwanamuziki nguli na mkongwe Dunian, Elton John ambaye alishindwa kuendelea na show yake nchini New Zealand kutokana na changamoto zakiafya zinazomkabili msanii huyo ambaye anadaiwa kusumbuliwa na tatizo la Mapafu ( Pneumonia).

Download FREE MP3 Music by Elton John

Elton John alijikuta akimwaga machozi kwenye stage baada ya kujikuta akipoteza ya kuimbia ndipo ikabidi awaeleze mashabiki wake kuwa hataweza kuendelea na show.

Source: Milard Ayo

Subscribe to Top African Entertainment News

Leave your comment