MV SALAMA

Ni Album yangu ambayo sasa hivi iko mtaani kwa mfumo wa audio,ambayo hivi karibuni itapatikana katika mfumo wa DVD.imekuwa produced na Producer Amba kutoka Iringa Tanzania.Ni Album inayozungumzia ukuu na uweza na neema yake Yesu Kristo,Mungu mkuu.Gospel hip hop for Jesus #MV SALAMA #ROBERTWILLIAM

Leave your comment