Ngosha classic

Ndugu zangu watanzania wenzangu nawakaribisheni katika page yangu hii ya mdundo.com ili kuweza kupata kazi zangu kiurahisi sana, fanya kufuatalia Post zangu facebook na instagram ili uwe wa kwanza kuona matangazo ya kazi zangu na ukikuta link usisite kuigusa kwani itakupeleka moja kwa moja hadi mali kazi zilipo. Asanteni sana naitwa Ngosha classic msanii wa bongofleva Tanzania

Leave your comment