Usawa Huu

Hadhi ya mtu isipimwe kwa pesa
Maana hata mwenye pesa anakufa
Hadhi yetu ipimwe kwa utu
Yaani namna tunavyowajali watu.
Mr Dani Mfalme

Leave your comment