Diavajay Next Song Release

Kwa Wale Wanaomfuatilia sana msanii huu mwenye umri wa miaka kumi na nane 18yrs Kwenye facebook.com/diavajay254 Na Twitter.com/@youngclassicuz
youngster diavajay asema."Ninasikitika sana kusema kuwa nina mipango mingi sana,ila kwa Jaala zake Mwenyezi Mungu Ntaweza Kurekodi Wimbo Mkali Ambao Msimbo Wake Ni 'TUMESHINDA' wimbo wenyewe utaguza maisha ya wengi baada ya ufanisi mkumbwa."

Leave your comment