Lyrics

"Utamu kunoga wa ligi ya Uingereza unaendelezwa ambapo Majogoo wa London Liverpool wanapokuwa nyumbani Anfield dhidi ya kikosi maridhwa kabisa Cha Erik Ten Hag Manchester United siku ya Jumapili.

Liverpool baada ya ushindi wake wa bao mbili dhidi ya Wolf Hampton wameweka tofauti ya alama Kumi dhidi ya United ambao wako katika nafasi ya tatu.

Licha Liverpool kusuasua na Klopp kupendekeza marekebisho katika Timu hiyo lakini Bado wanajisogeza kwa kukusanya alama na katika michezo Yao mitano na United wakifanikiwa kushinda mechi tatu na zote wakishinda kwa mabao mengi Hulu United akiwacharaza katika michezo Yao miwili ya mwisho waliyokutana
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up