Lyrics

"Manchester City wakiwa katika safari Yao ya kutetea ubingwa wa ligi ya Uingereza wakiwa nafasi ya pili wanakutana na Newcastle United ambao wako katika nafasi ya tano katika ligi hiyo katika nyasi za uwanja wa Etihad Jumamosi hii

City kwa sasa tamaa Yao iko katika kupata alama tatu katika kila mchezo wa ligi kutokana na hali ya The Gunners kuwa vinara wa ligi na kwa sasa wakiwa na tofauti ya alama Tano pekee.

Pia kwa Wana Hawa wa kasri la mfalme wako pia katika mbio za kombe la ligi ila pia haitakuwa tabu sana kama wakifanikiwa kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa kama watafudhu katika zile Timu nne kwa msimu ujao.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up