• Stream Marioo - La la Mimi mars ft Marioo - Uchambuzi

    La la Mimi mars ft Marioo - Uchambuzi

    Marioo

    1:39

Lyrics

Mtangazaji ambaye pia anafanya vizuri katika kiwanda Cha muziki wa nchini Tanzania Mariana Mdee 'Mimi Mars' mwaka 2022 aliachia wimbo wa La la aliomshirikisha mwanamuziki Marioo akiwa ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa nchini Tanzania.

Ujio wa La la ni baada ya ukimya wa miezi mitano tangu Mimi Mars aiachie EP yake ya Chrismass with Mimi Mars mnamo mwaka 2021 ikiwa na jumla ya nyimbo nne pekee zenye kusheherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu.

Katika wimbo wa La la Mimi mars ambaye pia ni mtangazaji ameweza kuwakà zaidi katika ngoma hii ukilinganisha na nyimbo zingine kama vile wenge, MUA pamoja na Kodo ambapo katika wimbo wa La la Mariana ameimba kwa kujiachia na hata katika Video iliyojawa uchangamfu kuliko kazi zake zingine ikionesha wanenguaji wakiwa wanacheza kwa kujiachia zaidi akiwemo muhusika mwenyewe Mimi Mars.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up