• Stream Rayvanny - I Miss you Rayvanny ft Zuchu - Uchambuzi

    I Miss you Rayvanny ft Zuchu - Uchambuzi

    Rayvanny

    1:35

Lyrics

Mwandishi na mmiliki la lebo ya Next level Raymond Mwakyusa ambaye pia anajulikana kama Rayvanny mwaka 2022 aliweza kuachia wimbo wake wa I miss you aliomshirikisha msanii Zuchu kutokea WCB Wasafi ambapo mwanzoni Vanny alikuwa chini ya lebo hiyo.

I miss you ni kibao kinachopatikana katika EP ya Rayvanny aliyoipa jina la Flower 2 ambayo ina jumla ya nyimbo 9 na zote zikiwa za mapenzi.

Mshindi huyu mwenye tuzo ya BET hii itakuwa mara ya pili kukutana na Zuhura katika kazi nzuri baada ya Ile ya Number one iliyotoka mwaka 2020.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up